Uncategorized

ODUYA OPURONG AFARIKI NA RISASI KICHWANI KWA MIAKA 26.
Mbunge wa zamani wa Amagoro Frederick Oduya Opurong (83) amefariki akipokea matibabu katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta.Hii ni baada ya kusalia na risasi kichwani kwa miaka 26 kufikia sasa.
Baada ya kupigwa risasi kichwani mnamo 1993 na watu wasiojulikana akiendesha gari lake akielekea nyumbani kwake mtaani mariakani jijini Nairobi,madakitari waliamua kuacha risasi hiyo kichwani mwa Oduya Opurong kwa madai ilikua vigumu kuondoa risasi hiyo.
Madakitari hata hivyo walifanikiwa kuondoa risasi moja huku risasi moja ikisalia sehemu ya ubongo baada ya kuelekea London kupata matibabu ya ziada.
Jamii ya Iteso pamoja na viongozi wa kitaifa na kimataifa watamkumbuka marehemu oduya kwa kustahimili maumivu ya risasi kichwani kwa miaka 26 mbali na kukuza amani na umoja wakitaifa,kuendeleleza utamaduni na ujirani katika Kenya na Uganda na vile vile kutambua jinsi Mzee Oduya alivyochangia katika sekta ya maendeleo-endelevu.
Marehemu Oduya pia aliwahi kuhudumu kama waziri msaidizi katja wizara ya uchumi wa kitaifa mbali na kufanikisha kupatikana kwa eneo bunge la Teso (Busia North District) kabla ya kugawanyika kuwa Teso Kaskazini na Kusini.
Mzee Oduya aliyezaliwa mnamo 1938,alihudumu kama mbunge wa wateso kwa miaka 18 huku akiwa na watoto 33 na wabawake watano hayo yote yakichangiwa kutokana na ujasiri ,bidii na kujinyima kwake kwa sababu ya jamii ya Iteso.

RIPMzeeOduya

More to follow…

How are you today my celebration sisters I am still going on this project and this is the kind of machines I’m looking the machines I want to buy I’ve noticed which today contribution money to buy it but enquiry for friend and knowing he came together we can make it successful if you ready to donate to help me my dream to walk away to stand strong please invite you to you can follow me in my spare account all histogram Facebook Twitter even my website baby games Benson Emuria Oro BENNY M MTEULE hello sweetie can contribute using my email what is registered in all Bank online bensonemuria0@gmail.comthat email is everything cleared so you can email me also we can have a lot of conversation about this project if you want to know more thank you so much lady god bless you all people

Uncategorized

Everglade this day today ok how donation is still going on as I said I want 12 a Media group when I’m talking about a meeting group need to start up a radio station to start up my TV station broadcasting TV to set up a production room that for music and other things later in this Media group why ok I have experience on it for 10 good years at the same time it is my passion but you don’t have training where to start from I love a lot of things black only things of mention I love you but I can’t manage yes especially when we come to managing company can do it if I’m running and can be successful for our young talents who does YouTube got good experience on pill but there is no joke so does the opportunity or give my fellow youths were dying cause of love cause of no money them being loving them on their families wasted our money lot of things embarrassment so I can create away away tubelord issues especially artist artist the kanchipuram for music and I can do for them really great job if we can do it great job why not now so I beg it my pleasure my soul in my head if you can do it today might believe you helping me tomorrow so I will help thousands of people who shall be praising where we started from the who created this good agenda why are god Jesus Christ who created us you’ll get that your daily income successful will be remembered in middle-aged so studying me donate with me supporting my dream my fellow friend who do do it because I can do it I’m totally empty my eyes are tired but if we come together let it is dream achieve ok specially things I need let me remind again I need good transmitters for radio broadcasting and also I need your TV broadcasting transmitter transmittance and also I need production room does the music room and antonyms several additions we need to go to Paris antenna cable power and then we need to do is serve and then land I don’t want to rent renting it headache but I need to have my own house where we can work without any pressure and also power backup does the generators I’ll be so happy anybody comes in and stunning me in the wonderful God bless each and every by gonna read this late god bless you accordingly the way you gonna call me donate or contribute so we can rent me remind human does maybank email you can pay online payment on that (bensonemuria0@gmail.com) also remember you can contact me for more information more details 10 Grange mews London (+254708879719) thank you very much my sister’s my brothers my parents and fellow friends gravity bradling does and sister-in-law’s for you time and let God bless you so much